У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kuwekeza - Inuka Dozen Index Fund | Fortius Rutabingwa | Orbit Securities или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii, mtaalamu kutoka Orbit Securities, Fortius Rutabingwa anaeleza kuhusu mfuko wa uwekezaji wa Inuka unaojulikana kama Inuka Dozen Index Fund. Hapa utajifunza maana ya huo mfuko, tofauti yake na aina nyingine za mifuko ya uwekezaji wa pamoja, namna ya kuwekeza na maelezo ya ziada. Kupata video nyingine zinazoendana na hii video tumia link hapa chini: Video nzima inapatikana hapa: https://youtube.com/live/Xcsk2bxXeCk?... Namna tofauti za kuwekeza kwenye hisa Tanzania: • Zijue Namna tofauti za kuwekeza kwenye sok... *************** INUKA DOZEN INDEX FUND | FUNDAMENTALS ZA UWEKEZAJI | DSE MARKET UPDATE Makala zote zinazotumika kwenye presentation zinapatikana hapa: https://drive.google.com/drive/folder... DSE MTP: https://play.google.com/store/apps/de... Hapa ni mawasiliano ya wataalamu wa Orbit Securities 📞 Fortius Rutabingwa: +255 620650616 📞 Aurelia Richard: +255 714 335 893 📞 Andrew Kiwelu: +255 715 680 348 *********************** MATANGAZO YA BIASHARA #1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini: MIFUMO: a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000). b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000) c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO Sekunde 30 - Tzs 30,000 Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000 Posti ya kawaida - Tzs 10,000 ****************************** 🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/46554275...