• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na vitasa imara na magolkipa wazuri tu lakini nna uhakika kila mmoja kati yao ana la kusema kuhusu winga na forward hii machachari ambayo nchi yetu ishawahi kuona. Hakuna kitasa ambacho hakijawahi kukataa kufungua mlango muda ambao Mrisho Ngassa alikua anakuja kupiga hodi. Uzuri wake alianza kucheza mapema sana na kwasababu alikua machachari basi hata utulivu kidogo wakati anakua ulikua sio mzuri sana maana alikua na haraka. Ananiambia kwenye session hii vile ambavyo ali sign Yanga pasi na kumskiliza kocha wake kutoka Mwanza ambaye alikua anaamini kama dogo bado hajaiva, Pengine miaka miwili au mitatu ya kuendelea kujijenga ingemfanya awe bora zaidi na zaidi lakini kwenye kichwa na fikra za kijana huyu ambaye alikua na uchu wa mafanikio na kutaka kufika mjini maongezi hayo ya kusubiri yalikua ni kama kumuona sisimizi kwenye sukari alafu unamuambia asile leo badala yake ataila asubuhi, isingewezekana. Hivyo kocha akaona basi si mbaya, aende akayaone na kujifunza akiwa kazini. Yanga ndo Yanga, kwa wachezaji wote wanao chipukia au ambao ndo wanatafuta maisha kuichezea klabu kama ya wananchi ni heshima kubwa sana na zaidi kama wao ndo wametaka iwe hivyo. Kwa kijana mdogo ambaye alikua na spidi na uchu mkubwa wa kuzitia nyavuni basi klabuni pale ndo ilikua steji muafaka ya kuonyesha kipaji chake. Mrisho anakumbuka aina ya ‘vifaa’ ambavyo vilikua vinapatikana mitaa ya Jangwani. Majina makubwa na kazi ilotukuka ambayo walikua wakiifanya ilikua inajielezea. Kwa kijana kutoka mkoani kuweza kupata namba haikua kazi rahisi, ila pia haikua kazi ngumu maana ulichokisia ndo ambacho unakiona, kuanzia mazoezini mpaka anapopatiwa nafasi wakati wa mechi. Kwenye episode hii tunazungumzia aina ya mitihani na maamuzi ambayo ilikua inabidi yafanyike. Kwenye wasifu wake Mrisho amewahi kucheza kwenye team zote tatu kubwa hapa nyumbani kwetu. Kashawahi kuwa muajiriwa wa Yanga, Azam na Simba ambapo alienda kwa mkopo kutoka Azam FC, lakini pia ashawahi kupatiwa majaribio katika team kadhaa nje ya nchi yetu na wakubwa wanasema kama Ndugu yetu angekua katuliza akili na angefahamu aina ya nafasi ambayo alikua nayo kipindi kile basi yeye ndo angekua mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi pendwa ya Uingereza. Trials kwenye klabu kama Westham alipata na ofa kwenye vilabu kadhaa kutoka hapa hapa barani Afrika nazo zilikua hazikati. Sasa, nini haswa kilitokea? Wapi hasa alienda mrama? Ni kweli alikosea? Au malengo yake si malengo yetu? Au tulipokua tunamuona sisi yeye alikua hapaoni huko? Vikwazo vilikua nini? Mambo yepi hasa ndo ambayo yanaweza yakawa ndo chachu ya hayo yote kutotokea? Kama Mrisho angekua anawez kufunguka zaidi nami kwenye episode hii naamini tungeweza kupata funzo lilonyooka kwa wenetu na ukichukulia sasa mambo ndo yameanza kufunguka. Naamini angekua mwalimu mzuri kwa wake wote ambao wangetaka kusoma somo ambalo lina uhitaji mkubwa. Yangu matumaini utaweza kuelewa na kupata chochote kitu kutoka kwenye maongezi haya. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Rais Samia Atangaza Baraza la Mawaziri, Wako Mawaziri 27 | 3 дня назад
    Rais Samia Atangaza Baraza la Mawaziri, Wako Mawaziri 27 |
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • BILA KUOGOPA MPOKE AWACHANA JESHI LA POLISI na VIONGOZI wa SERIKALI 4 часа назад
    BILA KUOGOPA MPOKE AWACHANA JESHI LA POLISI na VIONGOZI wa SERIKALI "POKEENI SIMU ZETU, WAWE JELA"
    Опубликовано: 4 часа назад
  • TAARIFA YA HABARI - AZAM TV - 18/11/2025 Трансляция закончилась 1 день назад
    TAARIFA YA HABARI - AZAM TV - 18/11/2025
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 день назад
  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Nov.17, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast Трансляция закончилась 3 дня назад
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Nov.17, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
    Опубликовано: Трансляция закончилась 3 дня назад
  • SIKILIZA MANENO YA DOTTO BITEKO YANAYO TREND KABLA YA KUONDOLEWA KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI 1 день назад
    SIKILIZA MANENO YA DOTTO BITEKO YANAYO TREND KABLA YA KUONDOLEWA KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI
    Опубликовано: 1 день назад
  • CHEKI MBUNGE WA UPINZANI ALIVYO MLIPUA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KUTEULIWA KUWA WAZIRI MKUU 7 дней назад
    CHEKI MBUNGE WA UPINZANI ALIVYO MLIPUA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KUTEULIWA KUWA WAZIRI MKUU
    Опубликовано: 7 дней назад
  • KWA UCHUNGU KUHAN MUSA ASIMULIA MAZITO KIFO CHA MC PILIPILI/ ALINIPIGIA SIMU AKIWA ANAONDOKA... 5 часов назад
    KWA UCHUNGU KUHAN MUSA ASIMULIA MAZITO KIFO CHA MC PILIPILI/ ALINIPIGIA SIMU AKIWA ANAONDOKA...
    Опубликовано: 5 часов назад
  • #BREAKING: HAWA HAPA MAWAZIRI WAPYA WA TANZANIA, BITEKO, TULIA KIZUNGUMKUTI, WANU, MAKONDA WAMO 3 дня назад
    #BREAKING: HAWA HAPA MAWAZIRI WAPYA WA TANZANIA, BITEKO, TULIA KIZUNGUMKUTI, WANU, MAKONDA WAMO
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • LIVE: RAIS SAMIA AKIFUNGUA RASMI BUNGE LA 13 DODOMA NOVEMBA 14,2025 Трансляция закончилась 6 дней назад
    LIVE: RAIS SAMIA AKIFUNGUA RASMI BUNGE LA 13 DODOMA NOVEMBA 14,2025
    Опубликовано: Трансляция закончилась 6 дней назад
  • Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na WANA SE6 EP75|  PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na WANA SE6 EP75| PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • SHURA YA MAIMAMU WA KIISLAAM YAKATAA KUPONGEZA USHINDI WA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 4 дня назад
    SHURA YA MAIMAMU WA KIISLAAM YAKATAA KUPONGEZA USHINDI WA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Salama Na AY SE6 EP08 FULL SHOW |THE ARCHITECT PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 1 год назад
    Salama Na AY SE6 EP08 FULL SHOW |THE ARCHITECT PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na MSIGWA SE6  EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA  LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 2 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • MATANGAZO YA JIONI | 20 11 2025 |
    MATANGAZO YA JIONI | 20 11 2025 |
    Опубликовано:
  • Salama Na EVANS BUKUKU SE6 EP71| STICK TO ITIVENESS PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na EVANS BUKUKU SE6 EP71| STICK TO ITIVENESS PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5