У нас вы можете посмотреть бесплатно SITASUMBUKA - SIJAIONA NYINGINE SIKU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sijaiona nyingine siku NYIMBO ZA WOKOVU 50 1 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. 2 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. 3 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. 4 Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. 5 Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo.