У нас вы можете посмотреть бесплатно ID: Hii Ndio Sifa Ya Kwanza Ya Mwanaume Wa Ndoto Zangu - Miss. Atupokile Isaya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Mwanaume Mwenye Hofu Ya Mungu" Bila shaka sentensi hii sio ngeni masikioni mwako! Je unadhani kina dada huwa wanamaanisha nini hasa wanapoitaja hii kama moja ya sifa ya mwanaume wa ndoto zao, tena wengi wao wakiitaja kama sifa ya kwanza!? Katika video hii, mwanadada Atupokile Isaya kwa upana anatoa mtazamo wake juu ya nini hasa maana ya kauli hii ambayo inatumiwa na kina dada wengi wa makundi, dini, madhehebu na madaraja tofauti tofauti katika jamii. Karibu kuitazama. Je, wewe binafsi mtazamo wako ni upi? Unaweza shiriki pamoja nasi kupitia comment yako. Ahsante 🙏🏾