У нас вы можете посмотреть бесплатно #TANGANYIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#tanganyika Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanganyika Geofrey Mwashitete amewataka Wananchi wa wilaya hiyo kuzingatia sheria za utunzaji mazingira ikiwemo vyanzo vya maji kwa kuacha tabia ya kukata miti bila kufuata utaratibu. Mwashitete ametoa agizo hilo katika uzinduzi wa zoezi la upandaji wa miti katika mfumo wa Ikolojia ya mto Katuma katika mradi unaofadhiliwa na asasi ya Green Agenda Tanzania kupitia program ya TUUNGANE wenye lengo la kupanda miti katika bonde la mto Katuma Kijiji cha Kapanga ili kuunusuru mto huo ambao umeharibiwa.