У нас вы можете посмотреть бесплатно DC Tanganyika Aongoza Zoezi la Upandaji Miti 200 Iliyo hatarini kutoweka. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DC Tanganyika Aongoza Zoezi la Upandaji Miti Kabungu Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Mhe. Onesmo Buswelu, ameongoza zoezi la upandaji wa miti 200 katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, lililofanyika kata ya Kabungu. Katika zoezi hilo, Mhe. Buswelu ametoa agizo kwa Watendaji wa Vijiji na Kata kuhakikisha wanashiriki kikamilifu na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la upandaji miti katika maeneo yao. Aidha, amewataka Wasimamizi wa Mazingira kuweka vibao vinavyoonesha wazi kuwa maeneo yaliyopandwa miti si ya malisho. Ameonya kuwa mtu yeyote atakayebainika kulisha mifugo katika maeneo hayo atachukuliwa hatua za kisheria. Kwa ujumla, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika imejiwekea lengo la kupanda miti 2,061,000 kwa mwaka 2025/2026, ambapo hadi sasa tayari miti 700,374 imeshapandwa. Panda mti leo, linda mazingira kwa kizazi kijacho.