У нас вы можете посмотреть бесплатно ONGEZEKO LA TEMBO LINAVYOLETA CHANGAMOTO KWA WANANCHI WA TUNDURU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ONGEZEKO LA TEMBO PORI LA SELOUS LINAVYOLETA CHANGAMOTO KWA WANANCHI WANAOISHI JIRANI NA HIFADHI TUNDURU NIPO Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma naendelea na utafiti wangu,nikiwa katika Kata ya Majimaji nafika hapa nyumbani kwa Diwani wa Kata ya Majimaji Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Simbili Abdalah Makanyaga anazungumzia ongezeko la tembo katika Pori la Akiba la Selous linavyoathiri wananchi wa Kata yake.Kama tunavyofahamu kuwa wilaya ya Tunduru imezungukwa na pori la selous. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii Meja Generali Gaudance Milanzi alipotembelea Pori la Selous Kanda ya Likuyuseka wilayani Namtumbo alisema serikali imedhibiti vitendo vya ujangili dhidi ya tembo hali ambayo imesababisha tembo kuongezeka kwa kasi na kuleta changamoto kwa wananchi wanaoishi jirani na hifadhi na mapori ya wanyamapori.