У нас вы можете посмотреть бесплатно ROBOTI EUNICE AZUNGUMZA NA DAILY NEWS DIGITAL ATOA UJUMBE MZITO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania ROBOTI aliyetambulika kwa jina la Eunice ambaye amekuwa kivutio kikubwa katika Viunga vya Bunge jijini Dododoma, amesema lengo la yeye kuja Tanzania si kuchukua ajira za watanzania bali kufanyanao kazi kwa pamoja. Huku Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Mwasaga Nkundwe akisema lengo la kuleta roboti hii ni kukuza ubunifu wa kidigitali katika kukuza uchumi, ambayo inaweza kusaidia katika majukumu mbalimbali ikiwemo hata kuokoa ajali zinatokea. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09