У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgogoro waibuka CUF, wanachama watishia kufungua kesi mahakamani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mvutano umeendelea kukikumba Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kundi la wanachama wa chama hicho linalopinga uongozi uliopo madarakani kufikia hatua za mwisho za kufungua kesi mahakamani. Wanachama hao pia wamewasilisha barua katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kupinga mkutano mkuu wa chama uliofanyika Februari 21 mwaka huu, wakidai kutoutambua mkutano huo uliowaingiza madarakani viongozi wapya. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi