У нас вы можете посмотреть бесплатно OFISI YA MKUU WA WILAYA KISHAPU YAFANYA TAMASHA LA AMANI NA MAENDELEO | WAZEE NA VIJANA WAKUTANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kishapu imefanya tamasha la amani na maendeleo ili kuimarisha umoja na mshikamano sambamba na kuwapa fursa vijana kuonyesha vipaji vyao, tamasha lililofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Buduhe wilayani humo. akizungumza wakati wa tamasha hilo mkuu wa wilaya ya kishapu Peter Masindi amesema tamasha hilo pia litachochea kuenzi tunu za taifa pamoja kuithamini Tanzania Tamasha hilo limewakutanisha wazee,vijana na watoto na kutoa fursa ya kushiriki michezo mbalimbali. mgeni rasmi katika tamasha hilo,mbunge wa jimbo la kishapu Lucy Mayenga amesema michezo ni nyenzo muhimu ya maendeleo ya jamii na kujenga uzalendo .