У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Wachezaji wa timu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official lyric video of Wachezaji wa timu. Marks a 2nd release off the album A FATHER FIGURE Stream/download wachezaji wa timu Boom play - https://www.boomplay.com/songs/150166... Spotify - https://open.spotify.com/track/3akhGr... Apple Music - https://music.apple.com/tz/album/wach... Mdundo - https://mdundo.com/song/2746691 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/son... Dizasta Vina Instagram - / dizastavina Twitter - / dizastavina Facebook - / dizastavina07 Lyrics Wanasema duniani kuzimu Kwanini ukeshe kushika protocol wakati Ulaji muhimu Watu wanachohifadhi ni mbinu Kucheza kulia kushoto ila wote ila wote Ni wachezaji wa timu Chumba kilijaa njemba za kisasi Walipanga vifaa ka' wanakwenda kwenye kazi Palikuwa jitu juu meza yenye glass Limeshika tissue kusafisha chemba ya risasi Walijaa na maninja na ma bouncer Wamevimba wenye sura za kutisha Wamekausha, Wamegadhibika mpaka amani ilijificha Nilihisi mkojo unatiririka kwenye trouser Sura za kutisha nafuu devils Crate zimemwaguka utadhani sikukuu kesho Kulikuwa kumejaa camera full angles Huku warembo waki-twerk twerk juu ya pool table Huku watemi wa ngenga wameketi Mwonekano wa Rostam Bakhresa na Mengi Palikuwa na mabegi ya cheda na chenchi Yalikuwa mengi hata wachache kubeba hawawezi Walikuwepo mabinti wamefanya line up Mfano wa dinner set Sura ziko innocent Zikionyesha zina majuto ya kusign up Na baadhi yao walikuwa wadogo yaani minors Babake Jesca alisimama kwenye chanja Ametingwa kuchanganya plama kwenye ganja Nikamsalimia hakuijibu salamu yangu Akavuta beri kisha akapiga chafya mara saba Kabla muda wake wa kumaliza Akanyonga jani akapaka mate kwenye Lizzla Akasnap vidole kuonyesha alikuwa Taita Kumwita Mrembo na mrembo akaja Na lighter Mrembo akamwashia kipuri wakapiga Puff mbili Wakatoa moshi wakaanza kukiss pasi siri Ka’ wacheza ngono mbele ya Binti yake Jesca na mbele yangu kiasi nafsi ikakosa tafsiri Baba'ake aka-struggle kukumbuka jina langu nikamwambia jina langu naitwa Toni Glove Akauliza umemjua vipi binti yangu Nikamwambia mi na jesca tumekutana kwenye coffee shop Akaisogelea glass, akanywa kilichomo kisha Aka-scan majibu Ili kuhakikisha ninachokiongea fact, akasema sikujui unatokea wapi Nikamwambia nimezaliwa hapa Nonde Sua Nyumba no 77 kwa mzee Kilua.Akasema ninapiga simu mbili tatu kama hawakujui Nitakushauri tu uombe dua Akaja mtu akani-snap kwenye IPhone Design kama anafanya michongo ya passport Akainua uso nikaona umeweka ndita Akatikisa kichwa kisha akaendelea ku-type more Mkono wa jesca begani ukinipeti peti Huku moyo wangu ukienda lesi lesi Board guard wake wakinichekicheki Mara wani-search mifuko mara wani-search begi Nikaletewa maji ili nipoze kiu Design hamu ilinikata mzee Wasaidizi wakingiza jina langu kwenye simu ya kimtandao Kunifanyia background check Babake Jesca Akanipa face look kisha Akaomba simu sikubisha Akaanza kukagua photo Akalog in kwenye social kunikagua Facebook Twitter Ghafla ukimya ukaitawala nyumba Wakati akili ikiwaza kufa Nikitushwa Na yale mandhari yanayofanana na nyumba ya mafia mkubwa Kutoka Kuala Lumpur Akauliza je nipige down town Maana najua kila mtu kule ukinidanganya bure Nitakukausha kama kau kau mpaka uta shout shout Jesca akasema Daddy calm down Mi na Tony tayari tumependana Amekuja kutoa mahari ili tuishi ka' mke na bwana Anaomba kibali anataka kunioa Na kama utakubali basi soon tutafunga ndoa Baba Jesca akaegemea kwenye kiti mwisho Akashusha pumzi kwa masikitiko Kwanini unadate na mtu hatumjui Na unajua style ya kuleta hawa wakati ringi mwiko Jesca unajua hadhi ya hii business Equation ya ndoa haifiti into this case Kwanini usitafute a guy from inside Ipo time utaleta ma-spy au ma-witness Jesca akajibu daddy Tony Doctor PhD holder chuo kikuu cha oxford Anamiliki migahawa kadhaa hapa town Analipwa vizuri na kipato kinamtosha Namfahamu Tony sio mnoko Na kwao wana uwezo sana baba yake don sio kitoto Tumejuana miaka kadhaa ameshanikaa Maana penzi nililolihifadhi moyoni sio kidogo Babake Jesca akanicheki amenuna Nikawa nimevex nimechuna Moyo unaenda resi kama duma Mabaunsa yapo next yametuna Yakisubiri mechi hii kubuma Nikamwona mshikaji ameshika panga bisu Alikuwa busy anapanga vitu Sura yake ilikuwa tayari kuanza bifu Jesca akaniambia yule kaka'angu na ana anger issues Akaja ameshika vipisi vya kete Kisha akanidadisi si kibwege akashout naskia harufu ya polisi kwa huyu bwege Jesca akamuwahi akasema we' chizi acha usenge Akatoa syringe kwenye small bag Akauliza unapendaga cocaine Nikamwambia huwa situmii hizo zaga Kaka'angu alitumia akabwaga akajibu okay Nilihisi harufu ya casket Kaka'ake Jesca alihisi mi' shushushu akani-suspect Nikahisi napokwenda sio Moyo wangu ukienda mbio Babake Jesca nae anahamaki Baada ya kugundua nina camera kwenye kifungo cha shati Akatoa bunduki nikahisi uhai wangu unaishia Ndipo polisi wenzangu wakavamia