• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO скачать в хорошем качестве

WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO 4 месяца назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



WAZIRI WA ULINZI & JKT AFANYA ZIARA KUKAGUA BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA KIKOMBO

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stegomena Lawrence Tax(Mb), tarehe 10 Julai 2025, amefanya ziara na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Barabara Kuu kutoka Buigiri kuelekea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT) Kikombo mkoani Dodoma. Mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi, Mhe. Waziri Tax, alipokelewa na Mkuu wa Wilaya Chamwino, Mheshimiwa Janeth Mayanja, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Dodoma, ambapo pia wawakilishi kutoka Wizara ya Ujenzi Injinia Aloyce Mtei, Mkurugenzi wa Barabara nchini, Injinia Zuhura Amani pamoja na baadhi ya wataalam walikuwepo. Hata hivyo baada ya kupokea taarifa fupi ya utekelezaji wa mradi na baadaye kupitishwa katika maeneo kadhaa, Waziri wa Ulinzi na JKT alibaini baadhi ya kasoro ikiwemo kuzorota kwa kasi ya utekelezaji wa mradi huo na akatoa maagizo ya kuona namna gani uharakishwaji unaweza kufanyika ili kuendana na muda wa kukamilishwa kwa ujenzi wa Barabara hiyo. Aidha, ameagiza kuundwa kwa timu maalum ya mpango kazi kutoka Wizara ya Ulinzi na JKT kwa kushirikiana na Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na Wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma ili kuhakikisha Ujenzi wa barabara unakamilika kwa wakati. Naye, Mkuu wa Wilaya Chamwino Mhe Janeth Mayanja, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dodoma, amemhakikishia Waziri Tax, kuwa uongozi wa Mkoa utahakikisha unatoa ushirikiano stahiki ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kama ulivyokusudiwa. Kwa upande wa Mkurugenzi wa Barabara nchini, Injinia Aloyce Mtei, ametoa maelekezo kwa Wataalam wa TANROAD Mkoa Dodoma, kuandaa mpangokazi shirikishi haraka iwezekanavyo ili mradi huo uwe umekamilika. Ujenzi wa barabara hiyo toka barabara kuu iendayo Dar el Salaam kwenda Kikombo unatarajiwa kukamilika mwezi wa septemba mwaka huu. #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

Comments
  • WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI  MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI 9 месяцев назад
    WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • TEKNOLOJIA MPYA YA LAMI NYEPESI (FAST TRACK EMULSION PRIMER - C55) YAANZA KUTUMIKA KTK BARABA YA.... 6 месяцев назад
    TEKNOLOJIA MPYA YA LAMI NYEPESI (FAST TRACK EMULSION PRIMER - C55) YAANZA KUTUMIKA KTK BARABA YA....
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • WAZIRI WA ULINZI  NA JKT AHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU DULUTI 4 месяца назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT AHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU DULUTI
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Индия. БЕЗУМНАЯ грязь, антисанитария и хаос. Не верю глазам 14 часов назад
    Индия. БЕЗУМНАЯ грязь, антисанитария и хаос. Не верю глазам
    Опубликовано: 14 часов назад
  • MAKALA : WILAYA YA KONGWA YAPAA KIMAENDELEO SEKTA MBALIMBALI 1 год назад
    MAKALA : WILAYA YA KONGWA YAPAA KIMAENDELEO SEKTA MBALIMBALI
    Опубликовано: 1 год назад
  • БАКУ | БОЛЬШОЙ ВЫПУСК из столицы Азербайджана! Как СЕГОДНЯ живет 4 недели назад
    БАКУ | БОЛЬШОЙ ВЫПУСК из столицы Азербайджана! Как СЕГОДНЯ живет "Кавказский Париж"?
    Опубликовано: 4 недели назад
  • Инженерное чудо под названием Панамский канал 11 месяцев назад
    Инженерное чудо под названием Панамский канал
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • Алексей Венедиктов: «У меня нет выгоды. Я могу пойти на все». Разговор на фоне идеального шторма 17 часов назад
    Алексей Венедиктов: «У меня нет выгоды. Я могу пойти на все». Разговор на фоне идеального шторма
    Опубликовано: 17 часов назад
  • ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI ANGOLA AKITEMBELEA KAMBI YA RUVU JKT MKOANI PWANI 10 месяцев назад
    ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI ANGOLA AKITEMBELEA KAMBI YA RUVU JKT MKOANI PWANI
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA. 11 дней назад
    RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.
    Опубликовано: 11 дней назад
  • Мирный план США отвергнут? / Мерц вышел с заявлением 3 часа назад
    Мирный план США отвергнут? / Мерц вышел с заявлением
    Опубликовано: 3 часа назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA 5 месяцев назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • PATRICK OLE SOSOPI AKINUKISHA MPWAPWA, AWAPIGA ZA USO CCM, 1 год назад
    PATRICK OLE SOSOPI AKINUKISHA MPWAPWA, AWAPIGA ZA USO CCM, "LISSU NI MUUJIZA UNAOTEMBEA"
    Опубликовано: 1 год назад
  • 🔴#TBCLIVE:   KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
    🔴#TBCLIVE: KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
    Опубликовано:
  • CHEKECHE | Mazungumzo ya Mohammad Bin Salman na Rais Donald Trump na 'Utata wa yaliyojadiliwa' 12 часов назад
    CHEKECHE | Mazungumzo ya Mohammad Bin Salman na Rais Donald Trump na 'Utata wa yaliyojadiliwa'
    Опубликовано: 12 часов назад
  • ⚡️ Зеленский отдал срочный приказ || «Подарок» Путину 3 часа назад
    ⚡️ Зеленский отдал срочный приказ || «Подарок» Путину
    Опубликовано: 3 часа назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT , Dkt Stergomena Tax, Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Tarh 20 Mei 2025 6 месяцев назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT , Dkt Stergomena Tax, Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Tarh 20 Mei 2025
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • 5 ежедневных привычек, которые защищают простату после 60 лет 4 месяца назад
    5 ежедневных привычек, которые защищают простату после 60 лет
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Быков. Европа срочно вводит войска в Украину, Путин отказался от плана Трампа, убийство Медведева 12 часов назад
    Быков. Европа срочно вводит войска в Украину, Путин отказался от плана Трампа, убийство Медведева
    Опубликовано: 12 часов назад
  • Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941) 1 месяц назад
    Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)
    Опубликовано: 1 месяц назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5