У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 23.02.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa utakayoyasikia ++ Iran imesema leo kwamba uvamizi wa kiwango chochote utakaofanywa na Marekani utaifanya Jamhuri hiyo ya Kiislamu kujibu "vikali". ++Mataifa makubwa ya Ulaya yamerejelea msimamo wao wa kuiunga mkono Ukraine, huku jitihada za kupitisha vikwazo vipya dhidi ya Urusi zikisuasua ++ Bunge la Israel linajadili muswada wenye utata wa kurejesha hukumu ya kifo huku wataalamu katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wakisema muswada huo unakiuka haki ya kuishi #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.