У нас вы можете посмотреть бесплатно Bei ya mafuta yashuka nchini, ahueni zaidi jiji la biashara Dar es Salaam или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bei mpya ya nishati ya mafuta iliyotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa mwezi wa Oktoba imeanza kutumika leo. Bei hiyo imepungua ikilinganishwa na ile ya mwezI wa Septemba. Ewura imeeleza katika taarifa yake kuwa mabadiliko hayo ni matokeo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia serikali imeitoa ruzuku ya kiasi cha Shilingi bilioni 59.58. Bei mpya sasa kwa Dar es Salaam itakuwa Shilingi 2,886 kwa lita moja ya petroli ikishuka kutoka kiasi cha 2,969 kwa mwezi wa Septemba. Dizeli sasa itakuwa Sh, 3,086 kwa lita ikiwa chini ukilinganisha na mwezi Septemba bei yake ilipokuwa Sh 3,125 wakati bei mpya ya mafuta ya taa ni Sh 3,275 ikishuka kutoka Sh3,335 bei ya Septemba.