У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI KUENDELEA NA ZOEZI LA KUSAFISHA MJI WA SUMBAWANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SERIKALI KUENDELEA NA ZOEZI LA KUSAFISHA MJI WA SUMBAWANGA Katika juhudi za kuhakikisha Mji wa Sumbawanga unakuwa katika hali ya usafi, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mhe. Nyakia Ally Chirukile, leo Desemba 22, 2025, amefanya ziara ya ukaguzi kwenye maeneo yanayokusanya uchafu kwa wingi, hususan masokoni. Kufuatia ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya ametoa maagizo kwa watendaji wa kata na mitaa kuendelea na zoezi la uzoaji wa taka kila mara. Amesisitiza kuwa agizo hilo ni muhimu zaidi katika kipindi hiki cha masika, ambapo kuna changamoto kubwa ya uchafuzi wa mazingira, hasa katika maeneo ya wafanyabiashara. Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Mhe. Nyakia amesema: "Serikali inaendelea kufanya kazi kwa bidii na kujali afya za wananchi kwa kuhakikisha usafi unafanyika muda wote. Ni lazima tuhakikishe maeneo yote yenye mikusanyiko ya watu yanakuwa safi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko." SUBSCRIBE channel hii kupata habari kubwa zinazobamba mtandaoni / @kakwaletv Like us on Facebook, / kakwaletvtz Follow us on Twitter, / kakwaletv Follow us on Instagram, / kakwaletv