У нас вы можете посмотреть бесплатно BILIONI 50 ZATUMIKA KULIPA MADAI SUGU YA BIMA ZA AJALI NA MAISHA, MKURUGENZI NIC AFAFANUA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BILIONI 50 ZATUMIKA KULIPA MADAI SUGU YA BIMA ZA AJALI NA MAISHA, MKURUGENZI NIC AFAFANUA Kiasi cha Shilingi Bilioni 33.79 zimelipwa kama Fidia ya Bima ya Maisha, huku Bilioni 40.18 ikilipwa kama Fidia ya Bima ya Mali na Ajali na Serikali kupitia Shirika la Bima (NIC), ikiwa ni malipo ya Madai ya ndani ya miaka mitatu. Ripoti hiyo imetolewa Leo Septemba 11 Jijini Dar es Salaam, na Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Elirehema Doriye katika mkutano Ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina ikiwa ni Utaratibu wa Taasisi mbalimbali za Serikali kueleza Mafanikio ya Utendaji wake na Changamoto zake kwa Umma kupitia Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini. https://www.youtube.com/@Wasafi_Media... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm