У нас вы можете посмотреть бесплатно BAMBARA NA MTAA/ SWALI HILI LAWATATIZA WAKAZI WA BUYENZI/ KIPINDI CHA MASWALI MTAANI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je unaifahamu kweli Dini yako? Katika kipindi hiki cha *BAMBARA na MTAA tumewatembelea wakazi wa Buyenzi na kuwauliza maswali rahisi kuhusu Dini ya Kiislam lakini majibu yao yameshangaza wengi! Swali 1: Imani ya kuamini Maswahaba ni nguzo ya ngapi kati ya nguzo 6 za Imani? Swali 2:Jumla ya Surah zilizopo ndani ya Qur'an ni ngapi? Wengi walitatizwa, wengine walijaribu, lakini ukweli umedhihirika. Tazama hadi mwisho ujifunze ucheke na ujitathmini pia. Usisahau kusubscribe na kushiriki ili wengine nao wajifunze! BAMBARA na MTAA Elimu ya Dini Kutoka Mtaa kwa Mtaa.