У нас вы можете посмотреть бесплатно ALIBAKI MJANE NA WATOTO 6 FAMILIA YA MAREHEMU YAMGEUKA NA KUMTAKA ARITADI WA MAMA COMIBU WAMSHANGAZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kijiji cha Gakungwe mjane wa Kiislam aliyepoteza mumewe shujaa wa dini, anakumbana na mateso makubwa kutoka kwa familia ya marehemu. Akiwa na watoto 6 bila msaada wala makazi salama matumaini yalionekana kufifia. Lakini kwa rehema za Allah Umoja wa Wakina Mama wa COMIBU ulijitokeza kwa upendo mkubwa ukamjengea nyumba ya heshima na huruma. Hii ni hadithi ya maumivu imani na mshikamano wa Kiislam simulizi ya kweli inayogusa moyo 👉 Tazama video hii mpaka mwisho... ✨ Usisahau kushare, ili na wengine waguswe kuchangia kumalizia nyumba hii Dari, milango, na madirisha bado vinahitajika. 🕌 Tufanye wema huu uwe sadaka ya kudumu.