У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchambuzi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri. Gumzo Kuhusu Naibu Waziri Mkuu, Gharama Kuendesha Serikali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano, Agosti 30, 2023, amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, ambapo, pamoja na mambo mengine, ameanzisha cheo kipya cha Naibu Waziri Mkuu, na kumteua Dotto Biteko kuhudumu kwenye nafasi hiyo. Kwenye mabadiliko hayo, Rais Samia pia ameivunja Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kutengeneza wizara mbili tofauti. Mbali na Naibu Waziri Mkuu, Samia pia ameteua mawaziri wanne, naibu waziri watano, Makatibu Wakuu watatu na Naibu Katibu Wakuu watatu pia. TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.