У нас вы можете посмотреть бесплатно Full Video: MBOWE ALIVYOKAMATWA, VURUGU ZAIBUKA, POLISI WAMPIGA STOP... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Full Video: MBOWE ALIVYOKAMATWA, VURUGU ZAIBUKA, POLISI WAMPIGA STOP.... Mkutano wa hadhara wa mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, umeisha kwa vurugu baada ya jeshi la polisi kumkamata na kumpeleka kituo Cha Polisi Boma Ng'ombe wilayani humo. Katika kadhia hiyo baadhi ya waandishi wa habari wamekumbana na kadhia ya kupigwa na Polisi kwa sharti la kutotaka kurekodiwa... Mpaka Sasa Mbowe yupo kituoni kwa mahojiano na jeshi la Polisi kwa kudaiwa kutoa maneno ya uchochezi... Mkutano wa mbunge huyo umeanza siku ya Leo ambapo ilipangwa kuendelea Tena kwa siku ya kesho.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio