У нас вы можете посмотреть бесплатно Sampamba - Moyo wa Upendo (Official Video ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hawa watu wawili kwenye hii video ni kaka na Mdogo wake Walizaliwa Tumbo moja , kaka aliitwa kwenye huduma ya uinjilisti mwingine huduma ya uimbaji Baada ya kuanzisha huduma kaka ambaye ni muinjilisti hakupata muitikio mkubwa wa watu kwenye kanisa lake Lakini Mdogo wake alivyo toa wimbo wa kwanza tu alipata kibali na mapokezi makubwa , Kaka mkubwa ambaye ni muinjilisti akaenda kwa Mganga Ili Mganga ampe Nyota na mvuto Kama ya Mdogo wake katika huduma yake , Mganga akamwambia alete nywele za Mdogo wake kwasababu Mdogo wake Nyota yake ni Kali sana , Kaka akafanya ivyo , Mdogo alipo lala usiku kaka alimkata nywele kidogo bila mdogo kujua na akazipeleka nywele kwa Mganga Kama alivyo agizwa , Na Mganga akafanya mambo yake . Wiki juma pili moja siku ya Ibada kaka alifungua kanisa Kama kawaida yake na kilicho mshangaza hata watu ambao huwa wana msaidia usafi hawakufika Kanisani Hakuamini . Akarudi kwa Mganga na akaambiwa Mganga Alifariki wiki moja nyuma na bado uchunguzi unaendelea, Kaka muinjilisti Hali ilibadilika na akawa mgonjwa na akawa kichaa, Mpaka Leo yupo mtaani na Mdogo wake ndiye anaye pambana kumpeleka kwenye madhabau za maombi lakini hali bado ni mbaya Mpaka sasa , Kaka mkubwa ambae alikuwa muinjilisti yupo Mafinga na bado ni kichaa #trending #gospel #moyowaupendo