У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMLAKA YA KI MUNGU KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwenye hili somo Mtumishi wa Mungu ametufundisha namna gani tulipookoka/ kuzaliwa mara ya pili (kiroho) Mungu alituketisha pamoja na Mwanae pendwa Yesu Kristo, kwa sababu hiyo na sisi pia tumepewa mamlaka ya kukanyaga nge na nyoka na hakuna nguvu yoyote ya giza inayoweza kutusumbua, tumepewa mamlaka ya kuamuru na vitu vikawa. Fatilia mafundisho haya na mengine mengi upokee baraka ambazo Mungu kutumia watumishi wake amezileta kwa ajili yako. Mungu akubariki sana. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: / therealityof. . Follow our Instagram: / realityofch. . Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz