У нас вы можете посмотреть бесплатно ULINZI MKALI WA MAKAMU WA RAIS KIGOMA WAKATI AKIFUNGUA MAONESHO YA SIDO KITAIFA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kulifanyia tathmini Shirika la Viwanda vidogo SIDO katika mafanikio na utekelezaji wa majukumu yake hasa katika uendelevu na ubunifu wa teknolojia ya zana mbalimbali ili kuepuka kununua bidhaa za nje. Ametao maagizo hayo katika ufunguzi wa Maonesho ya tatu ya Shirika la viwanda vidogo SIDO 2021 Kitaifa ambayo yamefanyika Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma na kulitaka shirika hilo Kujitafakari katika utendaji wa shughuli zake kwa Wajasiriamali .