У нас вы можете посмотреть бесплатно BRUNO NJOGOLO: KIJANA ALIYEFANIKIWA KUMJENGEA NYUMBA YA TSH. MIL. 9 MAMA MWENYE ULEMAVU, DC APONGEZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Zacharia Mwansasu amekabidhi nyumba kwa Mama mwenye Ulemavu aitwa Twilumba Kijombe mkazi wa kijiji cha Ilembula yenye thamani ya TSH. Milioni 9 iliyojengwa kwa msaada wa kijana Bruno Njogolo kupitia kuchangisha fedha kwa Wananchi wa mkoa wa Njombe Mwansasu amesema jambo lilofanywa na Bruno linafaa kuigwa na kila Mtu kwani watu wenye mahitaji muhimu wanatakiwa kusaidiwa na jamii inayowazunguza kama alivyofanya kijana huyo. Mkuu wa wilaya huyo Ameongeza kuwa atahakikisha nyumba hiyo inakamilika kwa kuchangia na kuendelea kuhamasisha wadau. Kwa upande wa Bruno Njogolo amesema alikutana na Mama huyo Mjini Njombe akiwa anaomba msaada ndipo alipozungumza naye na kuahidi kumsaidi kujenga nyumba kupitia mchango wa Wananchi. Kwa upande wa Mama huyo ameshukuru kwa msaada na kudai kuwa sasa angalau maisha yake yatakuwa na rahisi kwani mwanzo alipanga chumba ambachoa alitakiwa kulipa kodi kila mwaka.