У нас вы можете посмотреть бесплатно MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE KIMKOA KUANZA MARCH ,5 2026-RC DENDEGO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE KIMKOA KUANZA MARCH ,5 2026-RC DENDEGO Mkuu wa mkoa wa Singida, Halima Omary Dendego,leo February 28 2026 ,amesema Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yataanza kuadhimishwa rasimi March 5 katika ngazi ya Mkoa kabla ya kuhitimisha March 7 2026 , wilayani Iramba Mkoani humo. Dendego ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake kwake ambapo kupitia mazungumzo hayo ametaja kuanza kwa Maadhimisho pamoja na shughuli zitakazofanyika kuelekea tarehe 7 March 2026 "Wanahabari nimewaita hapa kuwafahamisha juu ya Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani hususani katik mkoa wetu wa Singida, jinsi gani yatafanyika pamoja na shughuli mbalimbali ambazo zitafanyika kuelekea hitimisho la siku hiyo "amesema Dendego Katika Maadhimisho hayo Dendego amemtaja Mke wa aliekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Tatu na Mbunge wa Mchinga Mama Salima Kikwete kuwa mgeni rasmi wa tukio hilo. @@officialrobertnho #Cloudsdigtalupdates