У нас вы можете посмотреть бесплатно Jua Mzunguko wa Fedha zako (CashFlow) kwa kutumia Mfumo wa Kusimamia Biashara wa ERP SmartBiashara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Habari njema kwa wafanyabiashara, wajasiramali na wamiliki wa makampuni sasa unaweza kuendesha biashara kidigitali kwa kutumia mfumo rahisi wa ERP Smart Biashara. Kwa kutumia mfumo huu unaweza kufanya mauzo, manunuzi na kurekodi matumizi yako…kwa kutumia Smart Biashara unaweza kusimamia na kufuatilia biashara yako hata kama haupo karibu nayo yaan hata ka umesafiri kwani mfumo huu ni web based System Mfumo Huu unafaa kwa mtu yoyote yule iwe mjasiramali, mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni iwe ndogo, ya kati au kubwa Faida za kutumia mfumo wa ERP SmartBiashara, ni kwamba unaweza kutumia account yako moja na kua na matawi mengine ya biashara ndani ya mfumo mmoja na vilevile naweza kua na makundi tofauti ya wafanyakazi kwa madaraja tofauti kadri unavyotaka wewe. Mfumo huu utakuwezesha 1. Kurekodi mauzo yako 2. Kurekodi manunuzi yako 3. Kutengeneza Invoice 4. Kurekodi matumizi yako 5. Kusajiri Bidhaa zako 6. Kutengeneza Barcode za bidhaa zako 7. Kutengeneza Quotation 8. Kukupa ripoti zote za kibiashara, Faida na hasara 9. Kupata ripoti za Stock na thamani yake 10. Kuweka Expire date au warranty 11. Na mengine kibao Mfumo huu unamfaa mtu yoyote awe mmiliki wa kampuni au kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara mbali kama 1. Maduka ya Dawa 2. Maduka ya Jumla 3. Maduka ya Rejareja 4. Maduka ya vifaa nya ujenzi 5. Supermarket 6. Maduka ya Nguo 7. Maduka/Workshop za Kurepair 8. Viwanda 9. Hotels au Restaurant 10. Gereji (Auto Motives) Kujiunga ni bure kabisa...utaweza kujaribu kutumia mfumo huu kwa siku 14 bure kabisa, Then Utachagua Package gani inakufaa kulingana na ukubwa au mahitaji ya Biashara yako, gharama huanzia 15,000tsh kwa mwezi au 150,000tsh kwa mwaka mzima. Ni rahisi kutumia mfumo huu, naweza kutumia computer, iPad, tablet au simu yako ya mkononi Nenda na wakati, fuatilia biashara yako muda wowote na sehemu yoyote kwa kutumia mfumo wa Smart Biashara POS Kwa Maelezo Zaidi piga simu au WhatsApp: 0749 900 050Habari njema kwa wafanyabiashara, wajasiramali na wamiliki wa makampuni sasa unaweza kuendesha biashara kidigitali kwa kutumia mfumo rahisi wa ERP Smart Biashara. Kwa kutumia mfumo huu unaweza kufanya mauzo, manunuzi na kurekodi matumizi yako…kwa kutumia Smart Biashara unaweza kusimamia na kufuatilia biashara yako hata kama haupo karibu nayo yaan hata ka umesafiri kwani mfumo huu ni web based System Mfumo Huu unafaa kwa mtu yoyote yule iwe mjasiramali, mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni iwe ndogo, ya kati au kubwa Faida za kutumia mfumo wa ERP SmartBiashara, ni kwamba unaweza kutumia account yako moja na kua na matawi mengine ya biashara ndani ya mfumo mmoja na vilevile naweza kua na makundi tofauti ya wafanyakazi kwa madaraja tofauti kadri unavyotaka wewe. Mfumo huu utakuwezesha 1. Kurekodi mauzo yako 2. Kurekodi manunuzi yako 3. Kutengeneza Invoice 4. Kurekodi matumizi yako 5. Kusajiri Bidhaa zako 6. Kutengeneza Barcode za bidhaa zako 7. Kutengeneza Quotation 8. Kukupa ripoti zote za kibiashara, Faida na hasara 9. Kupata ripoti za Stock na thamani yake 10. Kuweka Expire date au warranty 11. Na mengine kibao Mfumo huu unamfaa mtu yoyote awe mmiliki wa kampuni au kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara mbali kama 1. Maduka ya Dawa 2. Maduka ya Jumla 3. Maduka ya Rejareja 4. Maduka ya vifaa nya ujenzi 5. Supermarket 6. Maduka ya Nguo 7. Maduka/Workshop za Kurepair 8. Viwanda 9. Hotels au Restaurant Kujiunga ni bure kabisa...utaweza kujaribu kutumia mfumo huu kwa siku 14 bure kabisa, Then Utachagua Package gani inakufaa kulingana na ukubwa au mahitaji ya Biashara yako, gharama huanzia 15,000tsh kwa mwezi au 150,000tsh kwa mwaka mzima. Ni rahisi kutumia mfumo huu, naweza kutumia computer, iPad, tablet au simu yako ya mkononi Nenda na wakati, fuatilia biashara yako muda wowote na sehemu yoyote kwa kutumia mfumo wa Smart Biashara POS Kwa Maelezo Zaidi piga simu au WhatsApp: 0749 900 050