У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kutumia SmartMenu - Mfumo wakuendesha Biashara za Vyakula au Vinywaji by SmartBiashara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye mwongozo kamili wa SmartMenu, mfumo rahisi na wenye nguvu kwa wamiliki wa migahawa, café, juice na biashara za chakula! 🍽️ Katika video hii ya hatua kwa hatua, utajifunza kila kitu kuanzia kufungua akaunti, kuunda menu yako, kutumia POS kwa kuchukua order, mpaka kusimamia stock na ripoti za biashara yako. 00:00 Utangulizi - Karibu SmartMenu 00:26 Jinsi ya Kufungua Akaunti 01:39 Jinsi ya kuseti system yako 09:30 Jinsi ya kuweka Menu yako 16:16 Jinsi ya kuweka meza zako 19:03 Wateja watakavyoagizia 21:44 Wateja watakavyoagiza kwa Delivery 26:37 Wateja watakavyoita wahudumu 28:14 Jinsi ya kurekodi mauzo kwenye POS 32:51 Reservation za Wateja 33:45 Jinsi ya kusimamia Inventory 40:16 Mwisho SmartMenu inakusaidia kuboresha huduma kwa wateja wako, kuongeza mauzo na kufuatilia kwa urahisi mwenendo wa biashara yako. Ukiwa na SmartMenu, unaweza: ✅ Kuweka menu yako na bei zake kwa urahisi ✅ Kuwa na tovuti yako kamili na logo ya mgahawa wako ✅ Kupokea order kwa njia ya dine-in, take away au delivery ✅ Kuruhusu wateja kuita waiter au kuweka reservation ✅ Kutumia POS system kuchukua order na kuchapisha risiti ✅ Kusimamia stock na bidha zako kupitia Inventory Management ✅ Kupata ripoti muhimu za biashara yako kwa maamuzi bora zaidi 📲 Unapotumia SmartMenu, unakuwa na mfumo wa kisasa unaokuokoa muda na kuongeza ufanisi. Ukikutana na changamoto yoyote, au ungependa kujiunga na mfumo wetu na kupata msaada zaidi, usisite kuwasiliana nasi moja kwa moja: 📞 WhatsApp / Simu: +255749900050 📸 Instagram: @smartbiashara_ 📧 Email: info@smartbiashara.com 🔔 Usisahau kusubscribe kwa channel yetu kwa video zaidi na mafunzo mapya kuhusu matumizi ya SmartMenu na mifumo yetu mingine. 👉 Tazama video nzima au ruka moja kwa moja sehemu unayopenda kwa timestamps kwenye description hii! #SmartMenu #BiasharaYachakula #RestaurantPOS #InventoryManagement #Migahawa #SmartSolutions #GraphicsBongo