У нас вы можете посмотреть бесплатно HATIMAYE JUHUDI ZA MBUNGE KISWAGA ZAFANIKISHA UKAMILISHAJI JENGO LA HALMASHAURI WILAYA YA MAGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@Jimbo la Magu-Mwanza. 08.03.2025 Serikali ya awamu ya sita Chini Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika jitihada zake za makusudi za kuboresha miundombinu ya utoaji huduma katika jamii. Hatimeye jengo la kisasa lenye hadhi ya kuwa jengo la Wizara katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu limeanza kutumika baada ya Serikali kutoa fedha hadi kufikia kiasi cha bilioni 7. Maafanikio haya yanachagizwa na juhudi na dhamira ya kutataua kero na kutimiza ndoto za jimbo la Magu za Mhe.Boniventura Destery Kiswaga mbunge wa jimbo la Magu. Kufuatia kuendelea kuibana na kuikumbusha Serikali kila mara kuhakikisha inatenga fedha kwa ajili ya kuendeleza mradi wa ujenzi makao makuu ya halmashauri ya wilaya uliodumu kwa muda miaka 13. Mkurugenzi mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Magu Mohamed Ramadhan ameeleza kuwa kuna jitihada kubwa sana za Serikali kuitikia hoja za Mhe. Mbunge Kiswaga katika kutekeleza mradi wa ujenzi wa jengo la makao makuu ya Halmasahuri ya Wilaya ya Magu. Mkuregenzi amewahakikishia wananchi kuwa Halmashauri imejipanga kimalilfu katika kuwahudumia wananchi wanaofika katika ofisi hizo, kwa vie hivi sasa Division zote zina ofisi katika jengo moja. Hivyo Jengo hili limerahisisha utoaji huduma na kwa wananchi. Vilevile limeongeza udhibiti wa nidhamu kwa watumishi kwa vile ofisi zimo ndani ya jengo moja. KAZI INDELEE: TUNTUME HANGI KISWAGA ATOSHIJE. Imetolewa na. Ofisi ya Mbunge Jimbo la Magu. email: dbubeshi@gmail.com +255 769226985