У нас вы можете посмотреть бесплатно BUNGE LAKOSHWA NA UWEPO WA MELI YA KWANZA YA UVUVI NCHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kupitia Kamati yake ya kudumu ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imefurahishwa na uwepo wa meli ya kwanza ya Uvuvi nchini iliyotia nanga kwenye gati la Shirika la Uvuvi nchini (TAFICO) siku chache zilizopita. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Deodatus Mwanyika mara baada ya kukagua utendaji kazi wa meli hiyo wakati wa ziara ya kamati hiyo iliyofanywa kwenye shirika hilo Machi 13,2026 jijini Dar-es-salaam. “Tumefarijika sana kama kamati kwa sababu jambo hili la meli ni jambo lililoongelewa ndani ya bunge kwa muda mrefu sana tangu 2021 na kwenye usimamizi wetu moja ya mambo tuliyoyaona ni kuona mchango wa sekta ya Uvuvi unaweza kuwa mkubwa zaidi ya hapa ulipofika” Ameongeza Mhe. Mwanyika.