У нас вы можете посмотреть бесплатно ''MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI UPO SALAMA HIVYO MTWARA IPO SALAMA PIA''._RC MTWARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa leo hii amezungumza na vyombo vya habari na kutoa taarifa kuwa, kutokana na machafuko yaliyopo nchi ya Msumbji kwa upande wa vijiji vinavyoishi katika mpaka huo vipo salama hakuna raia au askari yeyote wa Tanzania aliejeruhiwa au kupoteza maisha. ''Mpaka nin apoongea hakuna raia au askari yeyote kupoteza maisha nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama''_Mkuu wa Mkoa Gelasius Byakanwa. Pia ametoa wito kwa wakazi wa mpakani kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama kwa watu wanaoingia bila utaraibu maalumu.