У нас вы можете посмотреть бесплатно MAUAJI YA KUTISHA NJOMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu 13 wanaotuhumiwa kwa mauaji ya vijana wawili wa familia moja ya Chaula kutoka kijiji cha kipengere wilayani Wanging’ombe mkoani njombe . Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamisi Issa mbele ya vyombo vya habari Amesema kuwa watuhumiwa hao wengine walihusika kukaa kikao cha kupanga njama za kutekeleza mauaji ya baba wa watoto hao Bwana Frank Chaula ambaye ni mwenyekiti wa saccos ya Kipengere na badala yake wakawauwa watoto.