У нас вы можете посмотреть бесплатно DIWANI WA KATA MONDULI MJINI MH.ISACK COPRIANO AWASHUKURU WANANCHI WA MONDULI MJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DIWANI WA KATA MONDULI MJINI MH.ISACK COPRIANO AWASHUKURU WANANCHI WA MONDULI HASA WA KATA YA MONDULI MJINI. Leo 3 Julai 2020 Diwani wa kata ya Monduli Mjini Mh.Isack Copriano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli leo amesoma Taarifa ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi ya Miaka mitano ya Kata ya Monduli Mjini amelezea mafanikio yake makubwa katika utekelezaji wa Majukumu yake kama Diwani wa Kata. . . . Amesoma taarifa hiyo kwa wajumbe wa Halmashauri ya kata ambayo imeboreshwa kwa kukutanisha viongozi wote toka kwenye mashina hadi Kata,kikao hicho cha kusoma taarifa ya Utekelezaji wa ilani ya Ccm ni Mkutano wa kikanuni na ilikurudisha mrejesho wa kazi walizofanya kama chama ili kuona utekelezaji umekwenda vizuri au la.Amewashukuru wananchi wa kata Monduli kwa kumuamini kwa kipindi chote kama diwani wao na kwakumpa ushirikiano mkubwa hasa kama kiongozi wao katika kuwasema wanachi matmm changamoto zao katika baraza la madiwani pia Katika kutekeleza majukumu yake ya kuwaletea maendeleo wananchi. . . . Ameleza kwa kipindi chake cha uongozi emefanya mambo mengi lakini baadhi ni kama ifuatavyo Amesaidia kwa wananchi wake kupata mikopo kutoka halmashauri ya wilaya ya Monduli kwa vikundi vya Vijana,Wanawake na watu wennye ulemavu jumla kiasi Tsh.202.224,500 Jumla ya wanufaika 414 wamepatiwa mikopo hiyo ili kuweza kuwainua wananchi katika shughuli zao za kujiletea maendeleo katika uzalishajikwa kipindi cha Mwaka 2015 Hadi 2019/2020.Pia utengenezaji barabara za mitaa imetekelezwa, Kuwezesha kupatika kwa Kituo cha afya cha Monduli Mjini ambacho zamani kilikuwa kinamilikiwa na Marie stopers na kwasasa kinamilikiwa na halmashauri ya wilaya ya Monduli.Amewapongeza wananchi wa Monduli kuchangia shughuli za kujiletea maendeleo Hivyo anaona bado anae ari ya kuwatumikia wananchi wa kata ya Monduli mjini na kuendelea kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. MONDULI MJINI DIWANI ISACKCOPRIANO MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MONDULI. Imetolewa na Elifuraha Raphael(Kaburu). 03/07/2020.