У нас вы можете посмотреть бесплатно NAWASHUKURU WAJUMBE KWA KINISUPRISE: или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
hayo aliyasema mwenyekiti mteule wa bodi ya hospitali ya wilaya ya lushoto Dr jumaa shetumba wakati akiwashukuru wakumbe kwa kumchagua kua mwenyekiti wa bodi hio. nae mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya lushoto mhe,Methew Mbaruka amesema kua kwa uwepo wa mwenyekiti wa bodi na kamati ya bodi ilioteuliwa anaimani kua mambo yataenda vizuri hapata kua na malalamiko tena. Wakati huohuo mkuu wa wilaya ya lushoto amezindua bodi hio mpya ya hospitali ya wilaya ya lushoto,na baada ya kuzindua bodo hio aliweza kukagua jengo la mama na mtoto la hospitali ya wilaya ya lushoto. Pia katika jengo hilo mkuu huyo wa wilaya amebaidi changamoto katika jengo hilo,kitu ambacho kilimfanya mkuu huyo atoe maagizo magum kwa kamanda wa takukuru wilaya ya lushoto na kwa ocd pamoja na usalama kufanya uchunguzi wa jengo hilo na kumtaka Engenear aliekua anasimamia jengo hilo ambae kwa sasa amehama arudishwe haraka pamoja na afsa manunuzi ili wahojiwe juu ya ubadhilifu huo wa jengo hilo. SIKILIZA VIDEO FUUL: