У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbuge Marianne Kitany afurushwa kutoka kwa nyumba alimokuwa akiishi na waziri Mithika Linturi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Aldai Marianne Kitany amefurushwa kutoka kwenye nyumba alimokuwa akiishi na waziri wa kilimo Mithika Linturi katika mtaa wa Runda, jijini Nairobi. wakili wa Kitany Moses Kurgat, amesema watu waliotumwa na waziri linturi walivamia nyumba hiyo jana usiku licha ya kupata agizo lingine la mahakama lililotolewa na hakimu Wendy Micheni kuzuia kufurushwa kwa Kitany. linturi na kitany wote wanadai umiliki wa nyumba hiyo. awali linturi alikuwa amepata agizo la kufurusha kitany kutoka kwenye nyumba hiyo.mzozo wa nyumba hiyo umeelekezwa mahakamani tena baada ya pande zote mbili kuondolewa kwenye nyumba hiyo.