У нас вы можете посмотреть бесплатно UJUE UWEZO MKUBWA WA ISRAEL KIJESHI: NI TAIFA LINALOONGOZA KWENYE MAUZO ya SILAHA DUNIANI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UJUE UWEZO MKUBWA WA ISRAEL KIJESHI: NI TAIFA LINALOONGOZA KWENYE MAUZO ya SILAHA DUNIANI... Israel ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa mauzo ya silaha duniani, ikiwa inauza silaha zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 6.5 kwa mwaka. MWAKA 1950, miaka miwili tu baada ya taifa la Israel kuanzishwa, ujumbe wa kibiashara wa nchi hiyo ulifunga safari kwenda bara la Amerika Kusini. Nchi hiyo ilikuwa inahitaji wenza kibiashara. Tofauti na adui zake wa Kiarabu, Israel haikuwa na maliasili kuendesha uchumi wake. Haikuwa na mafuta wala madini. Haikuwa na chochote. Ujumbe huo ulikuwa na mikutano kadhaa lakini ulikutana zaidi na vicheko. Waisraeli walikuwa wanajaribu kuuza machungwa, taa zinazotumia mafuta na meno ya bandia. Kwa mataifa kama Argentina, ambayo inapanda machungwa yake na imeunganishwa katika gridi ya umeme, bidhaa hizo hazikuwa na maana yoyote. Ni vigumu kufikiria aina ya bidhaa ambazo nchi hiyo ilikuwa inasafirisha nje miaka 67 iliyopita. Leo, Israel imeendelea kiteknolojia na ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza kwa mauzo ya silaha nje ya mipaka yake ikiwa inakadiriwa kuuza silaha zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 6.5 kwa mwaka. Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Ta... ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx