У нас вы можете посмотреть бесплатно Msigwa afunguka kifo cha Swedy Mwinyi | Akumbuka manjonjo bao 5 za Simba или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC), Swedy Mwinyi umezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam huku wadau wakimkumbuka kwa mengi ikiwemo ushindi wa mabao 5-0, ilioupata Simba dhidi ya watani zao Yanga, mechi iliyopigwa Mei 6, 2012. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema licha ya kufanya kazi na Mwinyi ila jambo kubwa analolikumbuka kwake ni wakati wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga. Ameongeza kuwa ni mtu ambaye alikuwa anazingatia sana matumizi sahihi na ya ufasaha katika lugha kwa sababu aliwahi kumtoa mtu kwenye kipindi kutokana na kuweka L sehemu inayohitaji R, hivyo inaonyesha wazi alikuwa hataki masihara na kazi.