У нас вы можете посмотреть бесплатно DC NKINDA "WENYE ULEMAVU KUPATIWA MIKOPO KAHAMA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DC NKINDA "WENYE ULEMAVU KUPATIWA MIKOPO KAHAMA" Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imeahidi kutoa mikopo kwa Watu wenye ulemavu ikiwa ni pamoja na elimu ya usimamizi wa biashara ili kuhakikisha kundi hilo linajikwamua kiuchumi, baada ya kufunguliwa kwa dirisha la Mikopo kwa mwaka 2025. Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda ametoa kauli hiyo kwenye Mkutano wa Kusikiliza na kutatua kero za Wananchi katika Mtaa wa Mjengo baada ya kupokea kero Mkazi wa mtaa huo Adam Mrasi ya kucheleweshewa kupatiwa mkopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri. "Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametenga zaidi ya Bilioni 18 kwaajili ya Mikopo kwa Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu hivyo ni budi kundi hilo likapewa kipambele ili kuondoa vikwazo vinavyowakwamisha kutopata sifa ya kupata mikopo hiyo,Sisi wawakilishi wake tutahakikisha fedha hizo zinawainua kiuchumi,"amesema Nkinda. Flora Sangiwa ni kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Kahama ameahidi kumsaidia kupata mkopo huku akiwataka Watu wenye changamoto za Mikopo kufika Ofisi za Mitaa,Vijiji na Kata ili kupata usaidizi.