У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kukaanga Korosho na kuzipeki kwenye vifungashio или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mapema kikundi cha uchakataji korosho waliwasiliana na ofisini zetu za sambaza ufahamu Tanzania kujumuika nao huko kwenye maskani yao iliyopo mtaa wa Manispaa Lindi Mjini. Kwani ilikuwa ni siku ambayo wanaanza kuzikaanga korosho na kuzipeki kwenye vifungashio. Video hii inaonyesha namna ambavyo video hiyo utaratibu wanaoutumia kuzipika hadi kuzikausha na kwenda kuziweka kwenye vifungashio. #AkiliKubwa #durusuzahistoria Manispaa ya Lindi Mustafa Pirmohamed #lindi_ni_yetu_sote_tuijenge #sambazaufahamutanzania #sambazaufahamuonlinetv Sambaza Ufahamu, Tanzania Abdulrasul Muhibu Elhaji. _Mchambuzi masuala ya jamii kazi za sanaa na mhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. Lindi,Tanzania. +255710103273