У нас вы можете посмотреть бесплатно UPANDE WA JAMHURI WAOMBA KUONGEZA MASHAHIDI KATIKA KESI YA YOHANA KAUNYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Usikilizwaji wa kesi inayomkabili Katibu Mkuu mstaafu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA, Yohana Kaunya, pamoja na wenzake 20, umeendelea leo katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda huku upande wa Jamhuri ukiomba kuongezewa mashahidi zaidi. Ombi hilo limekuja wakati tayari upande huo ulikuwa umeeleza awali kuwa unatarajia kuwasilisha mashahidi 41 katika shauri hilo linalosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mulokozi Kamuntu. Katika hatua ya leo, shahidi namba tisa aliwasilisha ushahidi wake mahakamani. Kesi hiyo inatarajiwa kuendelea tena tarehe 19 Machi 2026, siku ya Alhamisi, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kuwasilisha ushahidi kupitia mashahidi wake waliobaki. Akizungumzia mwenendo wa shauri hilo, mmoja wa mawakili wa utetezi, Aloyce Osewe, amesema usikilizwaji umeendelea kwa mujibu wa taratibu za mahakama na kubainisha kuwa kilichojitokeza leo ni upande wa Jamhuri kuomba kuongezewa mashahidi.