У нас вы можете посмотреть бесплатно MASHAHIDI WAWILI WASIKILIZWA KATIKA KESI YA YOHANA KAUNYA NA WENZAKE 20. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Usikilizwaji wa kesi inayomkabili Katibu mkuu mstaafu wa baraza la vijana CHADEMA, Yohana Kaunya na wenzake 20 umeendelea leo katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mulokozi Kamuntu. Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi wawili ambapo shahidi namba saba alitoa ushahidi wake na kukamilisha hatua hiyo mahakamani. Shahidi namba nane naye alianza kutoa ushahidi wake lakini hakukamilisha kutokana na muda wa mahakama kuisha. Usikilizwaji wa shauri hilo unatarajiwa kuendelea tena kesho Machi 17 mwaka huu kwa kuendelea na ushahidi wa mashahidi wa upande wa Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari katika viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Bunda, Wakili DEOGRATIUS MAHINYILA ambaye ni mmoja wa mawakili wa upande wa utetezi, ameeleza mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo wa leo na kuelekeza kuwa kesho usikilizwaji utaendelea mahakamani.