У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJESHI ya NCHI za ULAYA YATUA GREENLAND - TRUMP APINGWA HATUA ya KUICHUKUA GREENLAND 📍GREENLAND или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAJESHI ya NCHI za ULAYA YATUA GREENLAND - TRUMP APINGWA HATUA ya KUICHUKUA GREENLAND 📍GREENLAND Wanajeshi kutoka Ufaransa, Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya wameanza kuwasili Greenland ili kuimarisha usalama wa kisiwa hicho cha Aktiki, kufuatia mvutano unaoongezeka kati ya Marekani na washirika wake wa Ulaya. Hatua hiyo imekuja baada ya mazungumzo yaliyohusisha Denmark, Greenland na Marekani kubainisha kuwepo kwa “tofauti za kimsingi” kati ya utawala wa Rais Donald Trump na washirika wa Ulaya kuhusu mustakabali wa eneo hilo. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx