У нас вы можете посмотреть бесплатно MAGU VIONGOZI WASHIRIKI NGUVU KAZI UZINDUZI WA UJENZI SHULE MPYA TATU KISESA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Viongozi wa Serikali Wilayani Magu wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu Salum Kalli ametumia siki ya kumbukizi la kuzaliwa Mtume Mohamed (SAW) kushiriki nguvu kazi na wananchi wa kata ya Kisesa. Mkuu wa Wilaya aliefuatana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Simon Mpanfdalume na Kaimu Mkurugenzi Wilabard Bandola wamewangoza maefu ya wananchi katika kushiriki nguvu kazi kwa ajili uzinduzi wa ujenzi wa Shule tatu mpya za Sekondari. Viongozi wameshiriki uchumbaji wa msingi vyumba vinne nne na Ofisi katika Kitongoji cha Mondo, Kijiji cha Wita na Igekemaja. 'KAZI IENDELEE'