У нас вы можете посмотреть бесплатно WENYE UALBINO WAISUKUMIA HOJA NZITO SERIKALI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWANZA: KATIKA kuelekea Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/2027, Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania (TAS) Mkoa wa Mwanza kimeiomba Serikali kuzingatia kwa dhati mahitaji maalumu ya watu wenye ualbino, hususan katika sekta za afya na elimu, ili kuboresha ustawi na haki zao za msingi. Akizungumza wakati wa kikao kazi kilicholenga kujadili vipaumbele vya mahitaji muhimu ya watu wenye ualbino yatakayojumuishwa katika bajeti ijayo, Mwenyekiti wa TAS Mkoa wa Mwanza, Masumbuko Marco, alisema kuwa bado kundi hilo linakabiliwa na changamoto mbalimbali, zikiwemo upatikanaji wa huduma bora za afya pamoja na fursa sawa za elimu. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09