У нас вы можете посмотреть бесплатно M/MKITI WA HALMASHAULI YA KYELA AMEAMASISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA MAKWALE KATIKA UJENZI WA SHULE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mhe. *Thobiasi Mwamkonda ameshiriki kushiriki Maendeleo kuanzisha uchimbaji wa Msingi kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Msingi Kijiji Cha Mpegele, kata ya Makwale, Halmashauri ya Wilaya ya Kyela. Wananchi kwa kushirikiana na Mhe: Mbunge wamenunua eneo takribani ekari 6 kwa ajili ya ujenzi wa shule. Hata hiyo Mwenyekiti Thobiasi amewatia Moyo, na kuwahakishia kuwa Halmashauri na serikali kwa ujumla ipo tayari kuwaunga Mkono endapo watafika hatua ya boma