У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kupata Pasipoti ya kusafiria kupitia mtandaoni. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya kupata Pasipoti ya kusafiria kupitia mtandaoni. Huenda ukawa una ndoto za kusafiri kwenda nje ya Tanzania na hujui ni jinsi gani unaweza kupata pasipoti ya kusafiria. Ndoto hizo yawezekana ni kwa ajili ya shughuli za kibiashara, kimasomo au hata kwa ajili ya kutalii. Pasipoti ya kusafiria ni hati rasmi ya utambulisho wa kimataifa inayotolewa na Serikali ya Taifa fulani kwa raia wake, inayomruhusu kusafiri kwenda nje ya nchi na kurejea nyumbani kisheria. Utambulisho huu unamsaidia raia kufanya shughuli rasmi zilizompeleka mahali husika bila kizuizi na hata kupatiwa msaada pale inapohitajika. Kwa Tanzania, pasipoti hutolewa na Idara ya Uhamiaji na Mchakato wa maombi yake unanzia kwenye tovuti ya idara hiyo, ambayo ni www.immigration.go.tz, ambapo ukishaingia katika tovuti hiyo unatakiwa kwenda katika kipengele cha huduma za uhamiaji yaani ‘eservice’.