У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA YATOLEWA KUHUSU MADAI YA UZEMBE YALIOSABABISHA VIFO VYA WATOTO, HOSPITALI ZA WILAYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Msimamizi wa hospitali za wilaya kutoka Saifee Hospital, Happiness Mashimba, ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hatua zilizochukuliwa kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika Hospitali ya Wilaya ya Chumbuni na Kitogani. Matukio hayo yanahusiana na madai ya wagonjwa kutopata huduma stahiki kutoka kwa wahudumu wa hospitali hizo, hali iliyopelekea vifo vya watoto wawili katika siku tofauti. Amesema uongozi umechukua hatua za awali ikiwemo kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli wa matukio hayo na kuhakikisha uwajibikaji unafanyika kwa mujibu wa taratibu na sheria, pamoja na kuimarisha utoaji wa huduma ili matukio kama hayo yasijirudie. #Afya #Uwajibikaji #HudumaZaAfya #Zanzibar #AsamOnlineTV