У нас вы можете посмотреть бесплатно NAIBU WAZIRI BADRIA AKUTANA NA WADAU WA USAFIRI WA BAHARINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Badria Atai Masoud, amefanya kikao kazi na wadau wa usafiri wa baharini katika ukumbi wa Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA) Malindi, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kujadili namna bora ya kuzitatua. Katika kikao hicho, Mhe. Badria amesisitiza umuhimu wa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya usafiri wa baharini kuzingatia sheria na kanuni zilizowekwa, akieleza kuwa hatua hiyo ni msingi wa kulinda usalama wa abiria na mali zao. Wadau wa usafiri wa baharini wameeleza changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika shughuli zao za kila siku, huku wakiomba serikali kuendelea kutoa ufumbuzi utakaosaidia kuboresha huduma na kukuza sekta hiyo kwa manufaa ya jamii na uchumi wa Zanzibar. #UsafiriWaBaharini #ZMA #UjenziNaUchukuzi #MaendeleoZanzibar #AsamOnlineTV