У нас вы можете посмотреть бесплатно SMZ KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA KISASA - NUNGWI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Badria Attai Masoud, amekutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tathmini ya hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo ndani ya Wizara hiyo. Akizungumza katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Tatu la Abiria, Uwanja wa Ndege, amesema mkutano huo ni sehemu ya jitihada za wizara kukutana na vyombo vya habari ili kueleza maendeleo yaliyopatikana pamoja na mikakati iliyopo. Ameeleza kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeandaa mikakati madhubuti inayolenga kuboresha sekta ya ujenzi na uchukuzi, kwa lengo la kuboresha huduma kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii Zanzibar. #UjenziNaUchukuzi #MaendeleoZanzibar #VyomboVyaHabari #AsamOnlineTV