У нас вы можете посмотреть бесплатно WAFANYABIASHARA AMANI MKOA WALALAMIKIA MAZINGIRA MACHAFU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo la Baa Amani wamelalamikia mazingira machafu yanayosababishwa na maji machafu yenye kinyesi yanayotiririka na kuenea katika maeneo yao ya kazi, hali inayodaiwa kuathiri biashara na kuhatarisha afya za wananchi. Wamesema harufu kali na uchafu huo ni tishio kubwa la magonjwa ya milipuko, hasa kwa watoto wanaoishi na kucheza karibu na eneo hilo, huku wakiomba viongozi kuchukua hatua za haraka. Akizungumzia malalamiko hayo, Diwani wa Wadi ya Amani, Ndg. Makame Khamis Ame, amesema juhudi za kurekebisha mazingira zinaendelea na amewataka wananchi kuwa wastahamilivu, akiahidi kupatikana kwa ufumbuzi wa kudumu katika siku za hivi karibuni. #BaaAmani #MazingiraSafI #AfyaKwaJamii #AsamOnlineTV