У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI YAZINDUA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA WILAYA YA KATI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imezindua zoezi la utoaji chanjo dhidi ya maradhi ya kichaa cha mbwa katika Wilaya ya Kati, uzinduzi uliofanyika kijiji cha Ndijani Mseweni, Mkoa wa Kusini Unguja, kwa lengo la kulinda afya ya wananchi na wanyama. Akizungumza katika uzinduzi huo, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Maliasili, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amesema chanjo hiyo inalenga kupunguza na hatimaye kutokomeza kabisa maradhi ya kichaa cha mbwa, huku serikali ikiendelea kuimarisha afya ya mifugo na usalama wa jamii. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kati, Ndugu Rajab Ali Rajab, amesema wilaya hiyo ina idadi kubwa ya mbwa hivyo zoezi hilo ni muhimu, akiishukuru serikali kwa kutoa chanjo hiyo bila malipo. Wamiliki wa mbwa wameeleza kuridhishwa na zoezi hilo wakisema litasaidia kuimarisha usalama wa jamii na kuzuia maambukizi ya maradhi hayo hatari. #ChanjoYaMbwa #AfyaYaJamii #WilayaYaKati #KichaaChaMbwa #AsamOnlineTV